Sunday, August 21, 2011

LOCATION OF THE TUITION CENTER.

Jinsi ya kufika kituoni.
Kituo kipo maeneo ya maeneo ya Msimbazi center, kandokando ya barabara ya kawawa; kata ya Ilala,wilay ya Ilala, Mkoani Dar es salaam.Kufika kituoni kutoka eneo lako panda basi lolote linalopita barabara ya kawawa.Hakikisha unamsisitiza kondakta akushushe kituo cha Msimbazi center.Ukishuka ulizia shule ya msingi msimbazi mseto. Kabla hujafika geti la shule utakutana na uwanja wa mpira wa miguu halafu angalia goli la kasikazini utaona gereji ya magari. Kwenye eneo la gereji ya magari ndipo kituo kilipo.
Au
Unaposhuka kituoni msimbazi center; tafuta kituo cha Tax na muulize dereva yeyote akueleze anapofundishia Mwalimu Mtegetwa.
Naamini utafika bila usumbufu wowote. Karibu sana wewe na mwenzio!

2 comments:

  1. Thank you for providing such an informative blog. Choose our online tuition for geography, at Ziyyara. Our experienced and qualified tutors will provide personalized sessions tailored to your specific needs, making learning fun and engaging. With Ziyyara, you can now ace your geography exams with confidence.
    Visit Ziyyara.com or contact us at +91 9654271931

    ReplyDelete